Kazi

Jiunge na mpango wa Kiingereza wa RDC ili kuendeleza taaluma yako.

Tunatoa mipangilio ya malengo ya kibinafsi na kupanga barabara ili kukusaidia kufanikiwa na malengo yako. Wasiliana nasi leo!

Programu za RDC

Ujuzi wa mahali pa kazi

Mpango wetu umeundwa ili kuwasaidia wanafunzi watu wazima kufahamu stadi za kimsingi wanazohitaji ili kusonga mbele hadi ngazi inayofuata ya elimu, mafunzo, au ajira ya kiwango cha juu katika nyanja za taaluma ambazo zinahitajika katika eneo au eneo.

Darasa la Uhamasishaji wa Kazi

RDC ilibuni mtaala huu wa uhamasishaji wa taaluma ili kuwaongoza wanafunzi kupitia mchakato unaowasaidia kuweka malengo ya kazi, kupata huduma za elimu wanazohitaji ili kutimiza malengo yao, na kustawi katika mabadiliko ya uchumi.

Katika Lansing, MI

Kazi za Michigan!

  • Sehemu moja yenye kilakitu unachohitaji kupanga kwa ajili ya kazi
  • Mikutano ya kazi, Mazoezi ya usahili, usaidizi wa kuandika maelezo binafsi
  • Kazi za washauri na sdadi za ujenzi
  • Usaidizi wa ktafuta kazi

Ushirikakiano wa Eneo la Uchumi la Lansing (Lansing Economic Area Partnership)

  • LEAP wanafanya kazi katika ngazi za juu za biashara na ujasiliamali hapa Lansing
  • Inatoa usaidizi na habari za upatikanaji wa pesa kwa wanao anza biashara.
  • Programu ya wajasiliamali vijana. Wanashinda $ kuanza biashara!

Ahadi ya ufadhili ya Lansing (Lansing Promise Scholarship)

  • Wanatoa usaidizi wa kulipia masomo mpaka credits 65 hapa Lansing Community College, au ambazo ni sawasawa na idadi ya $ za kulipia masomo na ada za Michigan State University au Olivet College
  • Mwanafunzi alieishi LSD, aliemaliza sekondsri ndani ya mipaka ya LSD, na alishakubaliwa kwenda MSU, LCC au Olivet anaweza kuomba

Kufanya kazi Lansing

  • Orodha ya sehemu za Jiji la Lansing wanaangalia kufanya kazi Lansing

Rasilimali Nyingine

Utafutaji wa kazi

  • Jifunze Mawasiliano ya kifaa cha mtandao kuhusu kupanga kazi na matarajio yako mwenyewe

Michigan eLibrary

  • Ni njia ya bure ya kuazima vitabu na kutafuta habari kutoka kwenye maktaba kuzunguka Michigan
  • Soma kuhusu njia mbalimbali za kazi na upatikanaji kwenye vitabu vya bure vya majaribio
  • Pia mitandao ya kupanga kazi na rasilimali za wananchi na zingine zaidi
  • Hapa kuna njia rahisi ya kusoma rasilimali za kwenye mtandao kuhusu (Studi za kazi) Life Skills!

Mtandao wa Habari wa Kazini (The Occupational Information Network)

  • O-NET ni mkusanyiko wa habari nyingi sana kuhusu kazi mbalimbali
  • Fanya jaribio kuangalia kama kazi unaipenda na ina thamani
  • Soma kuhusu mishahara na njia nyingi tofauti za kazi

Bodi ya Takwimu za kazi

  • Inafanana na O-NET - hii ni mkusanyiko mkubwa wa habari kuhusu kazi
  • Angalia kazi gani inaweza kuwa na malipo makubwa hapo baadae
  • Angalia mishahara kuzunguka nchi nzima katika kazi tofauti