Makazi
There are many resources to support housing. RDC is here to help!
RDC Housing Coordinator
Refugee Development Center’s Welcome Neighbor Program is a new initiative that will help refugees and future newcomers with housing support, home ownership planning and saving, financial literacy, landlord/tenant support, ongoing home visits, and wrap around family engagement support. The program provides:
- A structured step-by-step program helping families with:
- Interventions for Housing Insecurity
- Home Ownership Planning and Education
- Financial Literacy
- Landlord/Tenant Rights Support
- Ongoing Home Visits
- Wrap Around Family Engagement Support
Healthy Homes Videos
More Information About Lead
More Information About Bed Bugs
More Information About Landlords and Tenant Rights
Katika Lansing, MI
Ushirikiano wa Makazi ya Eneo la mji mkuu (Capital Area Housing Partnership (CAHP))
Imeunda mitaa yenye mahusiano mazuri ya mataifa mbalimbali inayolenga malipo ya nyumba ambayo ni nafuu, kuwa na makazi na kuwa na ulinzi wa mapato hapa Michigan. Pia kupanga kukutana na watu mbalimbli bila malipo yoyote na kujifunza zaidi kuhusu:
- Elimu ya ununuzi wa nyumba na kujenga imani kwa mikopo
- Washauri wa mambo uchumi
- Mambo mbalimabali kuhusu nyumba, boma , na vifaa vinvyo faa kwa matengenezo na garaji mbalimbali
Kituo cha afya cha kifedha (Center for Financial Health)
Inatoa vifaa na mbalimbali na mitaji au pesa kwa watu ili kuwawezesha watu kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi kuhusu kuwa na vitu vya thamani kwa usalama, Vyenye bei nafuu na kupata nyumba zenye bei nafuu. Huduma zinazopatikana ni pamoja na
- Kufundisha namna ya kuwa na vipato
- Madarasa
- Washauri wa nyumba
Mji wa Lansing wa wa kanuni za makazi (City of Lansing Housing Code Compliance)
Wanalinda Afya, usalama na kuwasaidia watu kuwa katika mitaa yenye bei nafuu.
- Kwa kuumwa au na mbwa mwenye hatari au wanyama, piga simu, call 517-676-8370
- Kwa harufu kali ya gesi, Piga simu 517-483-4361
- Kama kuna makelele yaliyozidi na hasa baada ya saa nne usiku (10:00 PM), piga simu 517-483-4600
Makazi ya Ubinadamu - ya Mji Mkuu (Habitat for Humanity - Capital Region)
Wanao saidia kumiliki nyumba na misaada mbalimbali kwa wenye kipato kidogo na cha wastani (Ingham county eligible residents). Huduma hii ni pamoja na:
- Ukarabati wa nyumba kwa malipo ya chini ya kulipa polepole
- Uwezekano wa kupata nyumba kwa wahitaji wa kila wakati
- Wanao saidia kununua nyumba
Shirika la rasilimali ya Elimu ya mmiliki wa nyumba(SHUJAA) Vifaa vya Maktaba (Homeowner Education Resource Organization (HERO) Tool Library)
Capital Area Housing Partnership wantoa vifaa bure kwa wakazi wa Lansing kwa ajili ya kurekebisha nyumba zao, Kusafisha mazingira na rekebisha vifaa mbalimbali.
- Vifaa vinavyopatikana ni kama: Mashine ya kutobolea, msumeno, mashine ya kulanda, Pimamaji, na mashine ya kukata vichaka pamoja na mashie ya kukata majani
- Piga simu 517-332-4663 kwa maelezo zaidi au omba form ya kujiunga bila malipo
Lansing Board of Water & Light (BWL) Hometown Energy Savers
Programu mbalimbali, marejesho ya malipo, na punguzo ili kubana matumizi ya pesa na umeme katika nyumba.
- Punguzo la vifaa mbalimbali vya ndani
- Wataalamu wa kutembelea huduma ya umeme bila malipo
- Piga simu 1-800-573-3503 Kwa maelezo zaidi
Lansing Capital Area Salvation Army
Vifaa, Kufukuzwa, usaidizi wa malipo ya kwanza ya kupanga nyumba kama upo:
- Kama pesa zitakuwepo
- Mara moja kwa kila miezi 12
- Piga simu 517-482-9715 Kujua kama unastahili kupewa hiyo huduma na kujua kama pesa zipo
Lansing Housing Commission
Usaidizi wa nyumba zenye punguzo na huduma zinginezo:
- Kuongoza na kuendesha sehemu 8 na kuwaweka katika subirisho
- Kusimamia usaidizi wa vifaa Lansing yote
- Malipo ya nyumba 30% ya kipato
- Piga namba 517-487-6550 kwa maelezo zaidi
Legal Services of South Central Michigan
Msaada wa kisheria kwa manufaa ya wananchi Legal, Sheria za nyumba, na zaidi
- Maelezo ya Kiuchumi, - hakuna malipo kwa wale wanaostahili
- Piga simu ya moja kwa moja 1-888-783-8190
Michigan State University (MSU) Rental Housing Clinic (Legal Aid)
Elimu kwa wapangaji na wenye nyumaba na vyumba vya wasaidizi katika vyumba vya mahakam kwa wapangaji wenye vipato vidogo na wale wanaobaguliwa au wako katika hali hatarishi ya kufukuzwa kwenye nyumba bila kibali cha kutoka mahakamani.
- Unalazimika kupiga simu 517-336-8088 kupanga muda wa kuonana na wahusika
- Panakuwa wazi wakati wa muhula wa masomo wa wansheria
- Angalia hapa maelezo ya wenye nyumba na wapangaji: https://www.law.msu.edu/clinics/landlord-tenant-guide-2017.pdf
Tuesday Toolmen
Wanaojitolea wanatoa huduma ya bure ya kukarabati nyumba na vifaa vya usalama kwa wazee na watu wazima wenye kipato kidogo na wenye ulemavu wa kudumu. Mradi ni kama:
- Grab bars
- Ngazi za kupanda
- Kifaa cha kugundua Moshi na carbon monoxide
- Milango ya nje
- Thermostats
- Kifaa cha kugundua kama kuna mtu anapita
Rasilimali nyingine
Housing Choice Voucher Program (Section 8)
Inasaidia familia za kipato cha chini sana waeze kuishi, kwa usalama na nyumba safi. Inatoa:
- Cheki kwa wanaostahili
- Mahitaji kwa ajili maombi
- Misaada mbalimbali na usidizi
Michigan State Housing Development Authority (MSHDA)
Huduma za upangaji Michigan ni:
- Ni huduma nzuri ya bure, orodha ya kukodisha
- Ni pango linalolipiwa na serikali, jimbo, au Mashirika ya madogo ya nyumba
US Department of Housing and Urban Development (HUD)
Serikali inatoa huduma kama Federal:
- Pando
- Nyumba zenye punguzo
- Vocha za nyumba (Section 8)
- Huduma za upangaji wa nyumba
USA.Gov
Huduma za serikali za watu wenye kipato kidogo wanahitaji nyumba wanazoweza kulipa. Huduma hizo ni kama:
- Kuwasaidia kulipa pango
- Nyumba za serikali
- Pango linalowezekana kulipia
- Vocha ya nyumba (Section 8)
- Habari zinazo husiana na ubaguzi