Pesa
Ukurasa wa pesa
Rasilimali za Fedha
Kituo cha Uwezeshaji wa Fedha
Panga miadi katika namba hii 517-483-4550 kwa huduma ya ushauri bure kukusaidia kwa:
- Kutengeneza bajeti
- Kuboresha huduma ya kukopa na kulipa madeni
- Namna ya kupata akaunti ya bank ambayo ni nafuu
Kituo cha Afya cha Kifedha
Wanatoa vifaa na rasilimali kwa watu kuwafanya wawe na nguvu katika maamuzi kuhusu hali nzuri ya kifeha na salama, na yenye bei nafuu, mipango ya makazi endelevu.Huduma ni kama:
- Mipango na matumizi ya pesa
- Madarasa
- Washauri wa nyumba
Kampuni ya Bima ya Taifa ya Jackson (Jackson National Life Insurance Company)
Mipango mirefu ya pesa na mahesabu na mengineyo, ni kama:
- Kuweka akiba
- Kuzalisha
- Kustaafu
MSUFCU Masomo ya Fedha (Michiga State Federal Credit Union)
Database ya habari na makala inayohusika kwa:
- Wazazi
- Wanafunzi
- Vijana
- Wataalam
- Na wengine zaidi…..
Mpango wa Kaskazini Maharibi (NorthWest Initiative)
Piga simu 517-999-2894 kupanga miadi kwa usidizi wa kujaza form kwa ajili ya:
- Chakula na pesa ya kusaidia
- Usaidizi wa afya na malipo yake
- Unafuu wa dhalula katika jimbo
Msaada wa Ushuru wa Mapato yaKujitolea (VITA (Volunteer Income Tax Assistance))
- Programu inatoa huduma ya bure ya kodi ya mapato kwa mtu na familia wanaopata $55,000au chini ya hapo.
- Kuandaa kodi kwa IRS-certified volunteers
- Piga simu “2-1-1” kwa upatikanaji na eneo lililo karibu
Chuo cha Khan
- Dideo ambayo imegawanya kupunguza ugumu wa kuhusu utunzaji wa pesa mwenyewe.
- Habari zinazohusu namna ya kuanza kupanga bajeti na namna ya kuweka akiba kwa ajili ya kustaafu.